KESI ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, imeshika kasi, safari hii akikataa kumtumia wakili aliyeteuliwa na Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, Neema ...
Mahakama ya Wilaya ya Kibaha imepanga kuanza kusikiliza kwa njia ya usuluhishi shauri la Afisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Hafidhi Nchimbi, anayedaiwa fidia ya zaidi ya Sh milioni 120 kwa ...